
Zipo faida nyingi sana za kumiliki blog. chache kati ya nyingi ni kwamba unaweza kujiongezea kipato kikubwa sana kupitia blog. najua utajiuliza kivipi.
Blog inapotembelewa na watu wengi unaweza kupata matangazo mbalimbali ya biashara kutoka makampuni mbalimbali, hawa watakulipa pesa kwasababu hii tu(kama wewe ni mtembeleaji wa blog na website mbalimbali utakuwa shahidi wa hili, utaona matangazo mengi ya VODA, TIGO, AIRTEL na mengine. hawa watu wanalipwa kupitia hii)
mbali na hilo pia kunakitu kinaitwa ADSENSE hiki ndicho kitu kikubwa kuliko vyote. maana halisi ya ADSENSE ni matangazoo ambayo GOOGLE wanaweka kwenye blog yako na watu wanavyotembelea blog yako ndipo pesa inavyoongezeka, hii ni oesa nyingi sana, inaweza fika mpaka 15 milion(nnaushahidi juu ya hili) kikubwa ni kujitahidi kupata watu wengi wanotembelea blog yako.
ili upate viewers wengi ni lazima uwe n kitu unique pia ni lazima blog yako iwe na muonekano mzuri.
KUPITIA ONLINE CLASS unaweza kujifunza kutengeneza blog na ukawa unaingiza kipato kwa kuwafundisha watu, pia kwa kuanzisha blog yako na kupata pesa nyingi tu kama niluvyoezea hapo juu. ONLINE CLASS ni darasa kwa njia ya mtandao ambalo linakufundisha vitu mbalimbali kwa vitendo kwa njia ya video hatua kwa hatua, in case hujaelewa unaruhusiwa kuuliza nasi tutakujibu kwa ufasaha kabisa(lengo ni kwenda kinyume na elimu ya Tanzania inayowafundsha watu kukariri badala ya kuwafanya waewe na kwaandaa kujiajiri.) walioshiriki darasa hili watakuwa mashahidi.
GHARAMA YA DARASA HILI NI SH.20,000.
kumbuka hauhitaji kuwa online muda wote ili kushiriki darasa hili. hata usipokuwa online tutakutumia video za masomo kwenye email yako na utaweza kulifatilia kwa muda unaoutaka wewe.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete