Fahamu Nini cha kufanya endapo Akaunti yako ya Social Media(Instagram,twitter, n.k) imekuwa hacked








Kuna watu wengi sana akaunti zao huwa zinatekwa “hacked” na hakuna hatua yeyote anayochukua zaidi ya kufungua Akaunt mpya. La hasha yapaswa uchukua hatua ili ikiwezekana utambue ni nani aliye hack akaunti yako na ni vipi urudishe akaunti yako utumie kama zamani.



Zifuatazo ni baadhi ya Alama “Sign’ ya kujua kuwa akaunti yako imekuwa hacked


Alama zinazooyesha Akaunti ime hacked
Post ambazo huzifahamu kwenye akaunti yako
Meseji binafsi “Private messeges” ambazo huzitambui
Email ambazo huzitambui na wala hukuzitaraji zinazokupa taarifa kuwa muda si mrefu umebadili taarifa za Akaunt yako
Baadhi ya Links ambazo hukuwahi kutuma maombi yeyote na huwa zinakuja tu na kudai uzi hakikishe “approve” ( kama vile liking, friending, following, unfollowing, au blocking)
Weka akilini kwamba Post ambazo huzitambui “unexpected” ni zile ambazo uliwahi ku install program Fulani. Na kama ukiondoa program hiyo basi hizo meseji hutozipata tena.


Ni jinsi gani hupelekea mpaka Akaunti inakuwa Hacked
Poor password hygiene
Phishing
Malware
The site being hacked
Another site, third-party app or service being breached
Sasa nini cha kufanya endapo Akaunti yako imekuwa Hacked
Kama umeona Akaunti yako imekuwa hacked basi kuna baadhi ya vitu unatakiwa uvifanye:


• Scan kompyuta yako kwa malware
• Kama umepata programu hatari, iondoe na kufuata taratibu kwa ku recover vitambulisho vya mwizi ili kumpata aliye hacke
• Badilisha neno la siri
• Batilisha ruhusa kwa programu zozte za wengine na huduma pia
•Fanya mabadiliko ya password yako katika maeneo mengine yoyote ambapo kutumika jina la mtumiaji sawa na password
• Ripoti sehem husika katika site yako kwa kutuma ujumbe mfupi ili wakusaidie zaidi na
julisha marafiki na familia
• Kama huwezi kufuata yoyote ya hatua hizi kwa sababu maelezo ya akaunti yako imebadilishwa, unahitaji wasiliana na msaada kwa ajili ya tovuti ambayo inatoa akaunti yako ili uweze kurejesha udhibiti
Share on Google Plus

About IT MAN SOLUTION

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. I just want to thank you for sharing your information and your site or blog this is simple but nice Information I’ve ever seen i like it i learn something today. IT Berlin

    ReplyDelete