Njia Muhimu Kama Umesahau Neno lako la siri ya kufungua simu yako ya Smart ? Wala huitaji kuflash simu yako..

Ili kuondoa neno lako la siri kilazima na simu yako kurudi kama awali ulipoinunua dukani, Fuata hatua zifuatazo:




>> Zima simu yako

>> Bonyeza Kitufe cha kuwashia na kitufe cha kupunguzia sauti kwa pamoja "kama ni Samsung Galaxy S5660, Bonyeza kitufe cha kuwashia na kitufe cha MENU (katikati) na OK yake utatumia hiko kitufe cha MENU (mpka itakapotoke "recovery Menu" ya android )


>>Shusha chini kwa kutumia kitufe cha kupunguzia sauti mpka sehemu iliyoandikwa "wipe data / factory reset" Kisha Chagua kwa kubonyeza kitufe cha kuongezea sauti.

>> Kisha chagua "Yes" ili kufuta mambo yako yote uliyoingiza baada ya kununua simu yako.

(Subiri baada ya kukamilika itaandikwa "Complete")

>> Bonyeza "Reboot" (Au Sima simu kwa kuondoa beti, kisha weka beti na uwashe tena).

Simu yako itarudi kama awali ulipoinunua dukani " Asante!!
Share on Google Plus

About IT MAN SOLUTION

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Zingine znataka google acont unafanyaje ikiwa umenunua kwamtu alaf hujui acont yake ya awali?

    ReplyDelete