Je? Wajua kuwa simu yako ya android inaweza kuwa cctv camera nyumbani kwako
Steps
1. Shusha application hii hapa kwanza uwe nayo kwenye simu yako
Download hii application kupitia link hii hapa chini ambayo nimekuekea
http://www.apk20.com/apk/111598/
2. Install hii application kisha endelea na installation steps
kwa mara ya kwanza unapo i launch hyo application utaulizwa uingize google akaunti yako hasa details zako zote zitakazoitajika hapo ili uweze kumaliza settings zake
Hapo utaulizwa user name yako na utaulizwa uweke password yako pia then uta proceed next
Hapo kwenye settings zake utaulizwa je android yako unataka iwe kama nini hapo utapata option mbili
Camera
A Viewer
Uta select ya kwanza Camera
kisha uta tap next
utakapo maliza application yako ita start up the rear camera na itataka viewer device au client ya ku connect
Hapo utakua na choice ya ku keep the phones displays uta i kept ON na hapo utaiweka device on standby mode
Sasa hapo app ita operate nyuma ya pazia na itaendelea ku stream video feed
Baada ya kazi hyo hapo sasa unatakiwa uwe na simu nyingine sasa
Hiyo simu nyingine ndio utakayoitumia kuangalia what is going on
Kwa maana ile ya kwanza ukishamaliza ku set utaitafutia place ya kuiweka ambayo itakua ina act as a cctv na hyo inatakiwa iwe na internet 24*7 na charger iwepo full maana ukishaiweka itakua hapo muda wote na uiweke place ambayo itakua inaona kila kitu unachokitaka sawa
Simu ya pili nayo utainstall app hio ila kwenye setting itabadilika kidogo
Utaishusha application kisha utainstall pia na utaipa google akaunti ile ile uliyoiweka pale kwwnye ile ya kwanza then uta tap Viewer
Pale itakapo kuhitaji kukuuliza unataka simu yako iwe kama nini sawa uta tap Viewer
So baada ya ku log in camera yako itaanza kuonesha list ya camera zako so uta tap relevant camera ili uanze kuona video feed zinazoendelea
Remember simu zako zote ziwe na internet ya 3G au above kwa ajiri ya connection kati ya hyo ya kwanza na hyo ambayo utakua unaitumia kama monitor vile sawa
~MWISHO~
Je una njia nyingine ambayo unaweza ukaishare hapa,ishushe hapo chini ili tuweze kuifahamu,asanteni sana na karibunihttp://www.itmansolutiontz.blogspot.com

I just want to thank you for sharing your information and your site or blog this is simple but nice Information I’ve ever seen i like it i learn something today. IT Hilfe Berlin
ReplyDelete